Huduma
Ujenzi wa Majengo
Ujenzi bora wa majengo ya makazi, biashara na viwanda kuanzia msingi hadi kukamilika.
Huduma
Usanifu wa Ramani na Miundo ya Majengo
Uchoraji wa ramani za kisasa, 3D Rendering na mahesabu ya miundo ya majengo.
Ina Matangazo
Usimamizi wa Milki
Usimamizi wa wapangaji, ukusanyaji wa kodi, na matengenezo ya majengo na nyumba.
Ina Matangazo
Uuzaji na Upangishaji wa Milki
Kuuza na kupangisha nyumba, viwanja, na maeneo ya biashara kote nchini Tanzania.
Huduma
Ukarabati na Uboreshaji wa Majengo
Ukarabati wa majengo ya zamani, kubadili muonekano wa ndani na nje ili kuongeza thamani.
Huduma
Upimaji na Uendelezaji wa Ardhi
Upimaji wa viwanja, kupata hati za ardhi, na upangaji wa miji na maeneo ya uwekezaji.
Huduma
Usimamizi wa Miradi ya Ujenzi
Usimamizi wa bajeti, muda na ubora wa mradi wako wa ujenzi ili kuzuia hasara.
Huduma
Ushauri wa Masuala ya Ardhi na Majengo
Ushauri wa kitaalamu wa uwekezaji wa majengo, sheria za ardhi, na uchambuzi wa soko.
Huduma
Mapambo na Usanifu wa Ndani
Pambo la ndani la maofisi, nyumba za makazi, maduka na migahawa kwa muonekano wa kifahari.
Huduma
Huduma za Uthamini wa Majengo na Ardhi
Kutathmini thamani halisi ya majengo na viwanja kwa ajili ya mikopo, bima, au mauzo.
YANAUZWA
Beach Farms or Lands
beach
INAUZWA
Nyumba Inauzwa - Kibaha Misugusugu
Kibaha Misugusugu
INAPANGISHWA
Nyumba ya Kupangisha Familia
Kinondoni, Dar es Salaam
INAPANGISHWA
Ofisi ya Kifahari Inapangishwa
Oysterbay, Dar es Salaam
INAUZWA
Ghorofa ya Kisasa Inauzwa
Masaki, Dar es Salaam
KIWANJA
Kiwanja Kilichopimwa (Hati Mkononi)
Chamanzi, Dar es Salaam
INAPANGISHWA
Fremu ya Biashara Inapangishwa
Mikocheni, Dar es Salaam
INAUZWA
Nyumba ya Kifahari Inauzwa
Mbezi Beach, Dar es Salaam


